WASICHANA WA KICHAGA

mkulungwa02

Senior Member
Joined
May 24, 2020
Posts
193
Reaction score
154
Wanajamvi nimeikuta hii mahali nkasema niilete kwenu niulize
Inasemekana wasichana wa kichaga hawajui kushika mwanaume ki romantic, wanashika kama bakuli la mtori?
KUNA UKWELI HAPA??
 
Hii vita ni ya Wapare V/S Wachaga
 
Tupe uzoefu wako, maana za kupewa changanya za zako!

Luckman1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…