Wasichana wa kipare


halfu wewe jamaa m nakuchora tu hapa ..sio fresh kuja hapa na kuanza kuchambua makabila ya mwatu ..wewe hujui tabia za watu zinatofautiana na mapenzi hayajali kabila wala dini
 
Wakarimu, Wasafi, Wana Heshima, Wapenda maendeleo, Wachapa Kazi, Wavumilivu, Wapole.........:welcome:
 
Mkuu mwambie kuwa suala na tabia za awanawake ni la mtu mmojammoja na ni ngumu kugeneralize!
 
Huwa wanahuruma sana hivyo lazima utasaidiwa tu
 
Mnaosema ni maharage ya mbeya,nyie ni ya wapi jamani?!lol..kaz kugeneralize tu,if mlikosewa na wenu,suck it up!
 
Wanaodai watu wa Tanga washirikina kwa mambo ya mapenzi,waliwasahau hawa jamaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…