Wasichana wa kipare

Wanaodai watu wa Tanga washirikina kwa mambo ya mapenzi,waliwasahau hawa jamaa.

wakakukumbuka tribe yenu!lol..be realistic,kwahyo watu wakienda kuangalia idadi ya watu wanaoenda kwa waganga watakuta wapare ndo wanaongoza?.ushirikina ni tabia ya mtu,na ukiangalia history all african tribes did it before the spread of christianity and islamic,.open the box!
 
Dah mkuu...

with all due respect, i find this post somehow degrading to women and abusive... maana unaulizia wapare kama vile ndizi au maembe na hapohapo unatoa ushuhuda wa wairaqw....

Trust me, in any tribe or gender, you will find all characters and personalities... tuliwadhalilisha sana wahaya miaka ya nyuma but many people got very nice wives and husbands from teh very same tribe

My advice to you and the likes of your... we (men and women) contribute alot to shape our partners and make them good or bad, tumeshuhudia malaya wakiwa very nice wives or husbands and saints becoming alcoholics an d sex toys

MY TAKE HOME MESSAGE: RESPECT IS EARNED AND NOT GRANTED.... EARN YOUR RESPECT FROM LADIES BY RESPECTING THEM AND NURTURE YOUR RELATIONSHIP BUDDY!!
 
I had to change the medium of communication just for what you have said nipate sehem ya thanks😛eace:!very good..
 
Desidii umesema suala la msingi hapa. Yani nadhani jibu langu la mwisho kwa yeyote ni kuwa tabia ya mtu inaweza kabisa isiwe na uhusiano na kabila lake, japo inaweza kuwa influenced. Maana hata wamachame wangu wanawakandia lakini ukimpata aliyetulia kiuno anakukatia na ule uhuni wa kusema atakuua kwa tamaa za mali asikuue ila mkawa matajiri kama wazee kadhaa wanaofahamika.

So, Aksanteni sana kwa wale waliochangia kwa busara
 
Baba watoto ukiua utaenda jela nami nitakosa wa kunichakachua njoo kule usafishe mambo kuna kali zaidi nimeweka:smile-big::smile-big:
ntamchukua haus i geli ntaenda nae kule ...mi hapa nataka kuua mtu
 

Mkuu akili mukichwa, ila wanawake wa Kichaga hasa wa Machame, kipare, kihaya, kiha, kikulya, kimakonde, kizaramo, kiambaa,kidigo,kindengereko,kinyakyusa hawa wanatakiwa waolewe na watu wa makabila yao vinginevyo umeumia
 
Mkuu akili mukichwa, ila wanawake wa Kichaga hasa wa Machame, kipare, kihaya, kiha, kikulya, kimakonde, kizaramo, kiambaa,kidigo,kindengereko,kinyakyusa hawa wanatakiwa waolewe na watu wa makabila yao vinginevyo umeumia

:blah::blah::blah:
 
Tabia ya mtu hujengwa na mazingira yanayomzunguka na sio kabila alilonalo.
 
Utalishwa makande kila siku mpaka uchanganyikiwe!.:eyeroll1:

Na kulishwa ugali kwa kuangalia picha ya Thamaki! ila lazima saliva glands zako ziwe zinafanya kazi kweli kweli, la sivyo mke wa kipare utamkimbia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…