Wasichana wa kipare

Watanzania tunajuana kwa tabia za makabila yetu na tunataniana mpaka kwenye misiba hadi makaburini! Kila kabila halikosi sifa fulani iwe nzuri au mbaya ila lazima tukubali makabila fulani yanaongoza kwa sifa fulani,Wakurya kwa hasira,ugomvi na ukatili! Wahaya kwa Majigambo, Ufuska na Ubaguzi! Wachaga wanaongoza kwa kupenda fedha na wizi ! Makabila ya mkoa wa Arusha na Singida kwa kutimua mbio ndefu, Wafipa, Waha, Wapemba na Makabila ya Tanga hodari na maarufu kwa ushirikina!Watanga line maarufu na hodari kwa MAHABA na kuteka waume za watu! Makabila ya pwani wanaongoza kwa uvivu na ushirikina na kupenda sherehe bila kufanya kazi! Ila si siri WAPARE ni MAARUFU kwa KUPENDA KESI, UBAHILI NA ASHAKUM SI MATUSI ule mchezo ni hodari kwa kuupenda!!!!kama walivyo maarufu Wanawake wa Kinyakyusa, Kihaya, Wanyeramba, Wambulu na Wamachinga walivyo maarufu kwa kupenda ashakum si matusi sambamba na wadada wa KIPARE! ZOTE NI SIFA NA UMAARUFU WA TABIA zimetokea wapi na kuanzishwa na nani hatujui ila lisemwalo lipo kama halipo limeshakuja!
 
Ila wachaga katka kila thread lazma watajwe..! Kwan tatzo ni nin? Hao wapare muulzen mzee malechela wa cc... Ataweza kuwapa jibu sahihi

kwa mtazamo wangu mzee wa mtera na mama yetu wapo happy na ndoa yao, huu ni mfano wa kuingwa.
 

kama hajaishi upare angalau, ila kama amekulia huko wanakuwa hawajali utu wanajali zaidi pesa... na wanapenda kusamini wapare wenzao zaidi na kuongea kipare bila kujali unawaelewa au la?????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…