JUAN MANUEL
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 7,808
- 16,972
Wakuu,kama una mpenzi,anaesoma saintaugustine,malimbe CAMPUS mwanza,kuwa makini,kuna kahosteli kamoja karibu na barabara ya kwenda chuoni,wadada wanaoishi hapo ni baraa tupu,they are just golddigers,wanabadilisha wanaume kama hawana akili nzuri vile,
Ni wasomi,lakini madudu wayafanyayo yanatisha,
Ndugu zangu kwa alie na mpenzi maeneo hayo,awe makini,mnaweza mkawa mpo hata watano,na wate mna hudumiwa,
I speak from experience,cioo guys.
Mbona watu wa hivyo wako kila sehemu. Kwa nini umewalenga hao wa hicho chuo tu?
Searching..
kamahauridhishi akung'ang'anie ya nini..
khaaaa mwache mtu ajaribu nguo yake kabla hakununua
Asije haribu pesa zake bure..
Afrodenzi umemaliza, kama katoswa ni yeye, halafu wabongo lini tutaheshimu mwanamke jamani? Huyo anesema hivyo huenda ndo yeye ana wanawake kibao...wanaume watz ndo tulivyo kuwasema wanawake tu...Life is just a way, use it when u have time, let them use the life before the life uses them....Umepotea sana wewe bibie...