UMEAMUA KUWA NJIWA, WIVU WA NINI KWANG'OMBE ANAEKAMULIWA?
Ni kautamaduni kadada zetu Kama CCM WANABANA WAO WANAACHIA sio kwamba wanapenda wamejiwekea kautaratibu kakukomboa matumbo yao. Huko Sweya, Nganza, bondeni, fisheries, darful ni utafutaji na huwezi kuwazuia ila waambie watumiage kinga maana ndio wake zetu wa baadae hao.
nI ALMOST COLLEGES ZOTE DUNIANI BANA... KILE NI KIPINDI CHA KUJILIPUA
NA UMASKINI UNACHANGIA
Searching..
kamahauridhishi akung'ang'anie ya nini..
khaaaa mwache mtu ajaribu nguo yake kabla hakununua
Asije haribu pesa zake bure..
Huo mwandiko sasa,....
Niambie tu my dear
ni umeuchikia hadi basi
au unaupenda hadi hakuna
hahahahahhahahaahhahahha lol
Mtam sana,sikupata shida kukusa hihishia daftari la mwandiko,
nashukuru hadi leo unaandika vyema,..haha
hahahahah lol
na mwalimu kama wewe mmhh
Kosa hufanyi hahahahahahhahaha lol
nakumbuka jinsi ulivyokuwa unanifinya
na kalamu sikioni mmmhhh naogopa kukosea mpaka sasa lol
pole muzee hayo mbona kawaida sana kwa wasichana wa vyuoni?