Yawezekana umeamini tu kutokana na maoni ya watu,mitazamo ya jamii pamoja na wewe unavyo amini.
Kumbuka kuna wadada wengi huko mtaani wanaenda club kutoa huduma hiyo na wanajiita wanachuo ilimradi wawezepata wateja ambao wengi wao wanaamini kuwa wanachuo ndo wazuri nani sifa kutembea na wanachuo then fanya kwanza utafiti kwa kina nikisema UMEKURUPUKA NADHANI SITAKUWA NIMEKOSEA.
wewe umewatambuaje? au huwa unakagua vitambulisho vyao mlangoni?
Very trueeeeeeeeeeeeee...mkuu ungesema hivi;
wasichana wa ustawi na udsm wanajiuza ambiance,cbe na ifm wanajiuza bill's na break point.wale wa uhasibu kurasini na tumaini kurasini na duce wanajiuza club masai kurasini.mia
hivi hamna solutions ya kuwasaidia hamuoni wanadhalilika kwani selikali halifahamu hili......jamani hii ni aibu jana nilikuwa na msichana wa ifm anasema anatafuta ada ya chuo ......
Kwanini wasiende kujiuza ikulu ambapo kuna jamaa mmoja anapenda sana chovya chovya? Hata hivyo hii ni kashfa kwa taifa na ushahidi kuwa watawala wetu ni waroho na wenye roho mbaya. Wao walisomeshwa bure na Kambarage. Bila aibu wanailangua elimu kwa vile wameiba pesa ya kutosha kuwapeleka watoto wao Ulaya na Marekani tena wakapate wengine shahada za kughushi kabla ya kuwatafutia kazi huko huko ubalozini.l Shame on you all.
Kwanini wasiende kujiuza ikulu ambapo kuna jamaa mmoja anapenda sana chovya chovya?
wasichana wa ifm,udsm,cbe,ustawi ndo kundi kubwa linaloongoza kujiuza club ambiance sinza wakitafuta ada za chuo na wengine waliookosa.....mikopo hivi viongozi wa vyuo vyenu wanafahamu hili
wasichana wa ifm,udsm,cbe,ustawi ndo kundi kubwa linaloongoza kujiuza club ambiance sinza wakitafuta ada za chuo na wengine waliookosa.....mikopo hivi viongozi wa vyuo vyenu wanafahamu hili
Yule dada wa Stanbic nilieenda kummegea South Africa last weekend sio Malaya? Tuache kuwanyanya paa wanafunzi. Most of the girls here in Dar are ******! they will do almost anything for money, hata maofisini!