Ujengelele
JF-Expert Member
- Jan 14, 2008
- 1,253
- 22
heri ya mwaka mpya kwa wote!
Watoto wa uswazi wana ujanja mwingi, ikiwa ni pamoja na kutumia vitu vingi visivyo rasmi. Mfano kuna mafuta mafuta, madawa huwa wanatumia ndio maana unaweza kuwaona wako bomba kumbe feki. Hebu, nikuulize, haujawahi kuagwa anaenda washroom 5 or 10 minutes before the game? Kama yes umeliwa. Siwezi kutoa details zaidi hapa.
Heri ya Mwaka mpya kwa wote!
Watoto wa Uswazi wana ujanja mwingi, ikiwa ni pamoja na kutumia vitu vingi visivyo rasmi. Mfano kuna mafuta mafuta, madawa huwa wanatumia ndio maana unaweza kuwaona wako bomba kumbe feki. Hebu, nikuulize, haujawahi kuagwa anaenda washroom 5 or 10 minutes before the game? Kama yes umeliwa. Siwezi kutoa details zaidi hapa.
dem kama wewe mimi hata kwa bunduki sikuchukui!hata unihonge bahari wewe sikuchukui ng'o!.........I hate Tanzania.
🙄. Du!dem kama wewe mimi hata kwa bunduki sikuchukui!hata unihonge bahari wewe sikuchukui ng'o!.........
Umegundua mwanajamii eeh! heri ya mwaka mpya na kwako pia, pamoja na wana jf wote!Hii thread mwe!!
Heri ya mwaka mpya wote.
Aksante dada yangu. Yaani nimebakia mdomo wazi sikuwa najua kuwa wapwa ni wajuzi hivi !!Umegundua mwanajamii eeh! heri ya mwaka mpya na kwako pia, pamoja na wana jf wote!