Chieth naungana nawe kwa 100% huyu jamaa sijui nani kamwambia umalaya au ushoga, ujambazi na ufisadi unasababishwa na hali ngumu ya maisha pekeeee? Kama kweli ni kukosa mikopo basi mbona wanaume nao hawajiuzi? Kama ni kukosa mikopo na amesema dau linaazia 50,000/= hadi 100,000/= ukipiga mahesabu ya haraka haraka kwa wiki anaweza pata takribani 200,000/= kwa mwezi 1,000,000/= kwa mwaka 12,000,0000/= basi wangefanya mwaka mmoja yatosha lakini huwa ni hulka hata wakijaolewa na washefa wenye mapesha itakua ndiyo tabia yao tu.