wasichana wafunika....

wasichana wafunika....

Danyel mweusi

Member
Joined
Nov 17, 2012
Posts
81
Reaction score
19
imekuwa kawaida ya wasichana kufanya vizuri na mara nyingine hata kuleta ushindani kwa wavulana lakin kwa matokeo haya ya mwaka huu noma kweli yan wametimuliwa vumbi mno almost more than two halves,
wavulana wafaulu 80686
wasichana wafaulu 46161
sasa hebu tuangalie hil swala je ni serikali ndo tatizo, walimu, utandawazi, au ndo kwamba wavulana wamekuwa wasongo..
 
Back
Top Bottom