Mwalimu katangaza test,
Akatoa Masharti;
Ukiandika jibu hamna
kufuta au kukata.
Swali la kwanza,
Taja vyakula vitatu
ambavyo ukienda
hotelini umelipiwa
utapenda kula (marks
1)
WAVULANA
wakajaza; wali, ugali,
mihogo.
WASICHANA wakajaza;
burger, pizza, egg
chop.
Swali la 2: Eleza jinsi ya kupika
kila chakula ulichotaja
hapo juu. (marks 99)
wacha wasichana waanze
kuhangaika kukata
majibu ya mwanzo!