tena huo sio wivu tu ni wa kijinga kabisaaaWivu huo kaa chonjo
tena huo sio wivu tu ni wa kijinga kabisaaa
Yani,imagine mtu kanipigia simu,me nilikua busy kwa mda huo,nkapokea nkamwambia niko busy kdogo na ka vp ntamcheki baadae!!sa hzi nampgia eti kanuna,kisa cha kununa ni mim kuchelewa kumtafuta.sa hapo nimsaidiaje tena huyo mtu wakuu?