Wasichana wanavunja ungo facebook

BABA JUICE

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2010
Posts
426
Reaction score
54
mtoto wakiume anabalee worldsex.com na wakike anavunja ungo facebook, hapo tunatengeneza bomo, social network zinapunguza real life experience kwani vijana wengi hukutana na wanawake wengi kwenye hizi social network na wanatongozana humuhumu...vijana wengi wa kiume kwa sasa hawana ujasiri wa kutongoza wanawake na wanaokutana internet mahusiano huwa hayadumu...kuna wanawake wngi mtaani kwako waangalie hao hawa wa internet sio...tumia muda wako kunya productive things ukiwa huku...kuna mambo mengi ya kufanya zaidi ya kufantasize net..:tape:
 
Wewe wapi?
JIBABU hilo. amemaliza balehe zoote kuanzia jandoni, jkt, mgambo mpaka mchakato wa kura za maoni.

Ila ni kweli BABA JUICE kwamba hizi wavuti zinaharibu mno vijana wetu maana nikitembelea kule nakutana na teen wa kufa mtu hasa kwenye world sex. na nikirudi kitabu cha uso (facebook) kuna dating za kufa mtu. nimeshadate bintiz kadhaa kwa face book na ni wa ukweli. nahisi kunahitajika elimu kwa vijana kuhusu hizi zama zetu tunazoishi.
 
hivi nimekuwaje....mbona sijaelewa??
 
hivi nimekuwaje....mbona sijaelewa??

Ngoja tumwombe Msanii akusaidie kudadavua hii thread, inaonyesha ameikamata vizuri!kaka hebu msaidie huyu binti
 

Ulikuwa unatafuta ni huko au na wewe ndiko uliko balehee pia, halafu hii research uliifanyia wapi? Isije ikawa kama ya SYNOVATE kwa kiswahili tunasema (SINAVYOTE)
 

mkuu umejuaje ndo wamevunja ungo, au umekutanana na kitoto kidogo
 

mkuu umejuaje ndo wamevunja ungo, au umekutanana na kitoto kidogo
 
Fafanua kidogo, mi sijaelewa kabsaaaaaaaaaaaaaaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…