Wasichana wembamba ndio wanaomaliza chupi za watoto madukani

Huku kwetu hao unao waita madem, skuhizi hawavai vyupi kabisaaaaaaaa.....
 
mhmh sista duu gani avae mothers union za watoto? waache kuvaa Victoria secret wavae magagula ya watoto? wapeni credit vimbaombao
 
Inawezekana huyo binti yako ameumbika kama mama yake.....[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Tanzania hii wadada wembamba walivyo wachache wanaanzaje kumaliza vyupi vyote dukani?
 
mhmh sista duu gani avae mothers union za watoto? waache kuvaa Victoria secret wavae magagula ya watoto? wapeni credit vimbaombao
Victoria secret ndo nini et ?? Maana nilikua na mpango wakumoelekea zawadi demu wangu wa chupi.. Hiyo ni shingap???
Nisije na mm nikampelekea hizo za watoto zinazoisha dukani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…