Wasichana wembamba ndio wanaomaliza chupi za watoto madukani

Mkuu umepigwa kibuti na dem mwembamba nn. Pole na kifungo naona umerudi kwenye ID yako inayojulikana.
Hapana mkuu wala mimi sijawahig kutokea demu mwembamba na sitokuja kutokea demu mwembamba

Nimelud kwenye id yangu si unajua nililimwa ban
 
Tupate maoni yao kama kweli au watakanusha
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mecheka sana
 
Sasa unataka wavae nepi au pampas, acheni kuwafuatilia wanawake kila siku kuwasimanga kwani ulitaka wote wawe wanene.

[emoji51] [emoji16] [emoji119]
 
Sasa unataka wavae nepi au pampas, acheni kuwafuatilia wanawake kila siku kuwasimanga kwani ulitaka wote wawe wanene.

[emoji51] [emoji16] [emoji119]
Mbona povu zaid ya omo kwani kosa langu nini mimi si nimeleta tu aliyo nambia huyu jamaa muuzaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…