wasichana wengi wanaomaliza vyuo vikuu hawaolewi

umemalizaaa mkuu,wengine wanabeat around the bushes......big up
 
umemalizaaa mkuu,wengine wanabeat around the bushes......big up
 
Dah!hizi tafiti zingine upotoshaji tu!mbona wanaolewa wengi tu!hebu uctuchurie km dada zako ndio wametoswa kimpango wenu,shule tumeenda na tutaolewa kwa jina la yesu,ebo!

mpe huyo.. yote mipango y mungu, taft yako utakuwa ulifanyia kijjn kwako rfk
 
Nimegundua mambo kadhaa, hakuna mahali ambapo ni rahisi KUMKATA(sex) mwanamke kama chuoni, yaani ni wepesi sana sijawahi kuona popote, wanamegeka kivyepesi sana, wanawasaliti sana wapenzi wao. Hivyo mtazamo uliopo ni kwamba wanawake waliopitia vyuo WASHATUMIKA sana, kitu kingine wanawake waliopitia vyuo hua wanatabia ya kuleta USONGO katika mapenzi, wanataka waapply education ktk mahusiano! Hata mimi SIWEZI KUOA MDADA aliemaliza chuo LABDA niwenae ktk mahusiano KABLA hajafika chuo.. Chuoni ni kuchafu sana wakuu.. Roho hua inaniuma sana nikiwaona hawa dada zetu wanavyofanywa huku vyuoni..
 


She is caren.Owning two Master degrees.She is blessed with a nice husband and three kids.She is only 29.

Mbona wanaolewa jamani.Tena they are good mama.Especially ukipata mwanamke anaejua maisha ni nini.Na responsibility zake kama mwanamke.They are good helper.Mnavyosema wanamiaka mingi,mara wamezeeka..mara wanatumiwa..Siyo nyie mnaowadanganya???.Respect them woman.

WASICHANA MKIPATA CHANCE YA KUSOMA SOMENI.WAPO WATAKAO WAPENDA VIZURI SANA.ILA MJIHESHIMU.MSITISHIKE NA MANENO YA WAKOSAJI.SOMA MPAKA UTAKAPO ONA BASI.THERE IS SOMEONE THERE FOR YOU.:A S 465::A S 465:
 

wewe umenikuna, yaani nimewamega kishenzi ..sasa mm nawaonea huruma wazazi na wanaowaoa mimi, hata mke wangu akitaka kwenda chuo labda tuvunje ndoa kwanza..maana kutafunwa chuo ni kama course ya lazma amegwe na amwagwe...dent chuo alinisalit wakt nipo nae...hawa sio watu kabisa...
 

Unasikitisha usione mchele ukadhani wote wa mbeya
 
hawataki kukubali sio! bas tuseme wanaolewa pambafu zao...kujifny wajuaji

Na wasiwasi na hiyo Elimu yako acha uchafu wa matusi na kujisifia humu kuwa we mkali wa ngono kujisifia kuwa umewapitia wasichana wengi wa chuo ni sifa!huu ni ulimbukeni wa mawazo
 
Badili tabia likes this.....


 
Nadhani hili ni tatizo la vijana wa kileo zaidi. Mimi nikiangalia ma mate wangu woote sioni ambaye hajaolewa; wote waliolewa na wengi wakiwa bado below 30. Tatizo siku hizi si wadada wala wakaka wako kimaslahi zaidi matokeo yake unakuta wakaka wanalelewa hivyo hawana wazo la kuoa; na wadada wanatunzwa na waume za watu hivyo hawakumbuki kuwa umri unakwenda na hao waume za watu ni ngumu kuwaoa.

Ila bado wale wanaopenda kuolewa na ku behave kama kweli wanaweza kuwa wake za watu wanaolewa kila kukicha.

Bado kuna kundi la wale wanaomini kuwa kuwa single kuna faida kuliko kuwa kwenye ndoa na wasio amini mafundisho ya dini yanayotutaka tuzae watoto ndani ya ndoa; "single (independent) mothers' ndo wanavyojiita. Na hiyo framing imeanza kuwateka wengi sana. Kuna office mate wangu huwa akikorofishana na hubby wake anasema anaadmire single independent mothers - namwambia weeee usione watu wamejaa smiles ukadhani wao maisha yao ni paradiso. Ila watu kama nyie msiojua mtakacho lazima mjihisi mmekosea njia.

Hivyo kuna factor nyingi sana zinazofanya wadada wasiolewe kuanzia mtu kupenda (by choice), mtu kukosa (by chance), na mtu kuamini (belief).



 
Ukweli ni kuwa wanaume wengi wa siku hzi nao wanaogopa kuoa wanawake waliowazid au wenye viwango sawa nao vya kielimu kwa madai yakuwa wanawake hao hawatakuwa wanawaheshimu. hata hivyo bado kuna wanawake wengi tu waliomaliza vyuo ambao wanaolewa tena sana tu, katabia ambako kameingia ni kwamba wengi wanaoana baada ya kupeana mimba.
 
Ulichoongea kina ukweli. Kuna wasichana wanajifanya expensive kweli kwa gharama za mabuzi. Tena waweza kuta wengine kwao ni walala hoi tu. Kweli mtu ndio kwaza uko chuo umeshajiwekea standards za 'mimi sipandi dala dala'; nani ana uwezo wa kuoa binti wa hivyo? Mtu keshajiwekea 'siolewi na mwanaume asiye na usafiri; tena wa maana' Ni vijana wangapi wana huo uwezo??

Wale walio simple wanaolewa kila kukicha na baada ya muda mfupi wanafanikiwa kimaisha na hao wanaoweka higher standards ndio wanaokuwa wawindaji wa waume wa hawa waliokubali kuolewa na wasio na kitu.:israel:


 
Hawaolewi kwa sababu wanakuwa wameisha badilisha wanaume wengi sana.
Tena wengine wanakuwa na historia chafu, ya kutoa mimmba nyingi tu, kuanzia hata tano.

Hebu assume, huyo dada kaanza kuwachukuwa wanaume kuanzia akiwa darasa la saba. Unategemea nani atakubali kumwoa huyo.

Huenda kama nikimkuta akiwa na bikira yake, lasivyo mie simtakubali.
 

fanyeni utafiti wenu vizuri, yaani sijui kwanini wanaume hawajiamini mnaogopa,wasomi
 
Inawezeka sample size (n) ilikuwa ndogo sana au ulikuwa biased wakati wa ku-collect data. Hebu waone wataalamu wa statistics wakushauri jinsi ya ku-redesign hiyo research yako.
 
Wanajifanya wanajua sana, wabishi, hawajui jnsi ya ku-treat wanaume na wanapenda kuwatawala waume zao. Wanadhani namna ya kumtreat mwanaume ni kumpa kitu amege tu. Afadhali bibi zetu kuliko hawa wasomi wetu wa leo.
 
Duh!Kumbe wana matatizo mengi hawa watu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…