wasichana wengi wanaomaliza vyuo vikuu hawaolewi


research yako haijajitosheleza na sidhani kama ina ukweli ndani yake!
 
wanawake walomaliza chuo wameshatumika sana na si kutumika pekee, wametoa mimba nyingi kitu ambacho ni kibaya zaidi mana utoaji mimba unaweza sababisha mimba nyingine zitoke mfululizo! Na si ajabu akakuzalia taahira muwe makini wenzangu, kutumika si ishu sana ila hili la kutoa mimba mhh, ni bora nioa mtu mwenye mtoto aliyemaliza chuo, la sivyo nioe asiye na elimu ila umri mdogo.
 

Tatizo huna courage ya kumuoa msomi sababu huna confidence as a realman ambaye unaweza kuface challenge kwa hiyo unaamua kutoa visingizio vya uongo
 

Sister futa kauli, mwanamke hata asome vipi bado baba anabaki kama baba, I am talking through experience my mom aliolewa na mzee wangu wakati anatoka university udsm around early 80's, na by now she as a phd and a lecture somewhere but mzee just secondary school leaver with shortcourse but mpaka tunafika umri wa kujitegemea sijawai kuona mama akiwa juu, mzee akiongea hizo hoja na anavyoendesha shughuli zake hadi maza anaogopa, b mkubwa na shule zote hizo lakini anarudi kumuomba mzee msaada wa kila kitu kuanzia pesa, ushauri hadi pocketmoney kipindi anasoma as scholarship/ mshahara haitoshi, mwanamke hata asome vipi hawezi kumsumbua mwanaume as hasa huyo mwanaume akijua kuitengeneza pesa zaidi yake lazima anywee tu, na awai jikon kumpikia mumewe na kumtandikia mashuka anapoamka, ELIMU NI UWEZO SIO CHETI as wazungu wanasema education is what remaining on head after forgeting everything you learned from school, so hivyo vyeti havimtishi mtu
 
 

kuna mtoto asiye na baba? rekebisha fwasta!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…