Usione vyaelea,ujue vimeundwa na isitoshe Si vyote ving'aavyo ni dhahabu! Pole!Mi siamini kama kutongoza ni jambo baya.
Nikiwa lecture room,dada mmoja mwenye mvuto alivaa na kupendeza alikaa karibu nami,kiukweli sikumsikiliza tena mwalimu.
Nikajikuta mwili umesisimuka,bila kusita nikamwomba namba naye akanipatie.
Ujeuri wa dada yule siwezi kusahu,akanipatia number za mwanaume,kila ninapogia hupokea mwanaume.
Hivi kosa langu ni lipi?
Aisay huwa wanatokea tokea wanamna hiyo lakini mimi huwa siwaombi number zao za simu wala siwasifu na watazama tu.
Mpaa demu mwenyewe anauliza mbona unanitazama sana, na mimi namgeuzia kibao nani anaye mtazama hapa mwenzie mimi au wewe.
Afu namwambie lione vile kwanza huna uzuri wowote.
Sasa mshikaji hapo nadhani unajua kinatokea nini baada ya hapo.
Siku njema.
Lizzy, sio kila anaye onekana mzuri ni mzuri ndo mana nikasema vile.Loser!!
Hamna mjanja anaefanya kazi ya kumshusha mwenzake eti ndio ampate. Siutafute saizi yako tu?
Yani dogo lazima kachukia sana na yeye mwenyewe anaji let down sana...Mwanaume lazima ujithamini smtimes.Du hii si aliileta some moons back; au michango ile hukuridhika nayo?
Sasa kama sio mzuri anaonekanaje mzuri?Lizzy, sio kila anaye onekana mzuri ni mzuri ndo mana nikasema vile.
Afu Mwanaume lazima ujipende mwenyewe kwanza.
Kila mtu ana defination yake ya uzuri...Yani mimi sibabaishwi na uzuri wa sura au wa make up.Sasa kama sio mzuri anaonekanaje mzuri?
Hahahahaaa BADILI TABIA....Sina la kuongeza. Angalia msg yangu hapo chini...mwili ukikusisimka tu unaomba namba?
Usione vyaelea vimeundwa, wenzio wanatunza wewe unasisimka!