Wasichana wenye elimu ya juu,ni matatizo.


Mnakemea nini kwa nguvu zenu zote??
Wanawake waache kusoma kwa kadiri ya
uwezo wao??

Badala ya kuomba wanawake wasomi waongeze
Mnakemea ....
Na hii yote ni sababu baadhi yenu hamtaki
Wanawake wasomi eti wanaringa
khaaaaa muache kabisa kutukandamiza..

Nataka kuongelea na visa vya wanaume
Wasomi kushinda baa na kuacha wamama
Nyumbani kutunza familia ...
Staki kutoka nje ya topic..
 
mi naona kama wadau wa hili jamvi wanachangia kwa ku2mia hisia zao, nadhani mwenye utafiti na data kuhusu hili a2saidie ss ambao ndo walengwa
 
Hahaha Infiii, mimi ndio namaliza darasa la 7 sasa hivi nasubiri kwenda O level
 
Hahaha Infiii, mimi ndio namaliza darasa la 7 sasa hivi nasubiri kwenda O level

Jana na juzi "infi ilirudishwa"
Kazi ya babu ODM..lolz..

Haya ntakusaidia homework ...lolz
Na we unifundishe kutungua mazambarau..
Lol... 🙂
 
Si wote mazee.binafsi mwanamke aliyesoma ndo bomba.Wangu kasoma charii yangu na bdo anaendelea kusoma.ananipenda sna nami nampenda sana ni mwaminifu na anaheshima.akiwa home huyafahamu vema majukumu yake.pia hunifurahisha sn anapo lalamika kwa kizungu wakat wa game,hatutarajii kuachana hata akipata phd.nampenda sana swt lv wangu mwenye degree ya pili.someni sana kinadada tufaidi wachache wengine wawaogope.
 

Utajibeba.....! Endelea kuwapotosha wavivu wenzako, na sie kubukua hatuachi ng'oooooo....!
 
Wanawake wasomi huwaita wanaume FUNGA CHIPS,akiwa na hamu humtafuta mwanaume yoyote kwa kutumia fweza zake na hamu ikimwisha hutimua hata usiku wa manane,si hata chipsi ukiila na kushiba hutupa makaratasi yaliyotumika kufungia,huko Nairobi demu anaweza akakukuta bar akakuchukua hadi kwenye jumba la kifahari analoishi ,pindi unapotaka kuanza kuvuta shuka ili uji enjoy saa nane usiku unaambiwa ee bana eh chukua time ondoka sasa hivi,utafikiri masikhara unabaki kutumbua mimacho ah sweetie saa hizi saa nane usiku nitaendaje ,utaambiwa kaka nitakuitia askari na kukuita mwizi ondoka sasa hivi
 

Kaka umeng'atwa?
 
Walianza na visingizio vya makabila na sasa wamehamia kwenye elimu, sijui kesho watakuja na kigezo kipi!! Dah...! Kwa kweli wanaume wasiojiamini ni matatizo matupuuu!!!
 
we kama ujaoa basi nahisi ukioa mkeo atakutawala...
 
Mi napenda wendelee kusoma kwa wingi manake huku oficini wanatusaidia sana kwani wengi wao wapo aged halafu unakuta wapo single tuu.
 
<br />
<br />
LIKE THAT
 
Mi napenda wendelee kusoma kwa wingi manake huku oficini wanatusaidia sana kwani wengi wao wapo aged halafu unakuta wapo single tuu.

Heheheheee yeah hao wapo wengi sana na wapo desperate kishenzi. Si unajua tena biological clock is ticking....na wao wanataka kusema wana waume zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…