Wasichana wenye elimu ya juu,ni matatizo.

Ilonza

Senior Member
Joined
Jan 11, 2011
Posts
119
Reaction score
13
Ushauli kwa vijana ambao hamujaoa zingatia kuchagua wachumba, achana na wasichana wenye madigree wasumbufu kinoma kitabia(bad behaviours) , kama unaye pole na muombe mungu atakusaidia uishi nae. Am sory for inconviniences that may arise,but that is factual and will help you young boys.
 
Sio wote mkuu
 
Sio wote bwana, watu wana madegree yao na bado wana heshima kwenye mahusiano yao.
 
hiii mada nilliona hapa wiki jana ...imerudi tena ......

kwa kifupi inategemeana na ulipoangukia wengine huku tunafurahi na kila siku tunajaal
 
sio wote bana, ila wengi wao wako hivyo. Ila wakati mwingine inachangiwa na sisi wenyewe vidume na inferiority complexes tulizo nazo.
 
Ushauli kwa vijana ambao hamujaoa zingatia kuchagua wachumba, achana na wasichana wenye madigree wasumbufu kinoma kitabia(bad behaviours) , kama unaye pole na muombe mungu atakusaidia uishi nae. Am sory for inconviniences that may arise,but that is factual and will help you young boys.

Mwanaume kujiamini, mwanamke wa aina yeyote unaoa na hatakusumbua. Kusumbuliwa na mwanamke kutaka.
 
Seriously ..
Nyie wanaume mnaoanzisha hizi thread
mmnajidharau na kujidhalilisha wenyewe..

Nimechoka kuona thread kama hii
Kila wiki lazima iwepo..

Guys anzene kuvuta suruali juu
Kaza mkanda .. kuweni wanaume..
Chukua challenge acheni ku kung'unika..
Nyie ndo vichwa vya nyumba.. tutawapa
Vipi madaraka kama mnaogopa elemu zetu..
Jamani embu acheni hizi thread za ki pumbavu..

Weekend njema..
 
Washamba ndo wasumbufu lakn kwa anayejua thamani ya mahusiano hatoleta mbwembwe, wanaume 2we na msimamo co mwanamke akutawale kisa kasoma dat z first class mistake, sisi ndo 2naowalala bwana
 
Ushauli kwa vijana ambao hamujaoa zingatia kuchagua wachumba, achana na wasichana wenye madigree wasumbufu kinoma kitabia(bad behaviours) , kama unaye pole na muombe mungu atakusaidia uishi nae. Am sory for inconviniences that may arise,but that is factual and will help you young boys.

Jiamini mkuu achana na mawazo ya kizamani ya kuwaona wasomi wasumbufu
Wako sawa tuu jawana shida yoyote na wanakubalika kwa jamiii
Ni wewe tuu na msimamo wako
 
Seriously ..
Nyie wanaume mnaoanzisha hizi thread
mmnajidharau na kujidhalilisha wenyewe..

Nimechoka kuona thread kama hii
Kila wiki lazima iwepo..

Guys anzene kuvuta suruali juu
Kaza mkanda .. kuweni wanaume..
Chukua challenge acheni ku kung'unika..
Nyie ndo vichwa vya nyumba.. tutawapa
Vipi madaraka kama mnaogopa elemu zetu..
Jamani embu acheni hizi thread za ki pumbavu..

Weekend njema..

Too fierce mamaa...
 
Sina cha kuon/geza hapa umemaliza yote na afadhali umemwambia mtu kama huyu mwanzisha thread
 
Malimbukeni ndio tatizo! Waelewa they alway play their part adequately!
 
Ushauli kwa vijana ambao hamujaoa zingatia kuchagua wachumba, achana na wasichana wenye madigree wasumbufu kinoma kitabia(bad behaviours) , kama unaye pole na muombe mungu atakusaidia uishi nae. Am sory for inconviniences that may arise,but that is factual and will help you young boys.
Inawezekana mawazo yako hasi kwa mabinti zetu waliosoma yanatokana na inferiority complex uliyo nayo. Waache wenzako waoe wasomi wasaidiane makali ya maisha wewe!
 
sio wote bana, ila wengi wao wako hivyo. Ila wakati mwingine inachangiwa na sisi wenyewe vidume na inferiority complexes tulizo nazo.
<br />
<br />
I/Complexes wakti mwingine zinasababishwa na hao wanawake, kwanini, kwasababu ya academic arrogance, japo siyo wote. Na kama ABC hazipo kwa head + pesa basi wafa! Jitahidi kuwa na pesa, kisha jiamini. A woman is a woman, it depends on how you handle her.
 
Back
Top Bottom