Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,705
- 104,843
Mwaka ulirudishwa nyuma.Forgery!Inasemekana Gharibu wa GSM alimuuzia kiwanja R Makonda mwaka 2013
JE makonda alipata wapi pesa ya kununua kiwanja 2013?? HUYU alianza kupiga pesa mwaka 2016 baada ya kuteuliwa kuwa DC
Mkubwa vipi bado unatoa nyuma- Unataka CV ya Rais wa zamani wa Vyuo Vikuu vyote Afrika Mashariki, hahahahaha ungeulizia CV ya Sugu kwanza na Mwenyekiti wako wa Chadema hahahahahaha jamani ukistaajabu ya Musa utaona ya JF unaweza hata kuulizia CV ya Msomi wa Dunia kama Makonda duh!!
Le Mutuz
Etii...ππππMkubwa vipi bado unatoa nyuma
Poo Makonda ni mbabaifu sana ni kama alivyogushi vyeti vya kidato cha nneMwaka ulirudishwa nyuma.Forgery!
π π π π π π πHello wana jamvi nawaombeni sana mnipatie CV's za Mteule wa Rais kwenye Wilaya wa Kinondoni Paul Makonda.
Napenda kujua hasa pia maisha yake ndani na nje ya siasa.