Wasifu wa balozi mteule wa Marekani nchini Tanzania, Michael Battle

Yule ni alikua mfuasi wa Trump naona idiology ya Joe Biden kwa aliekuwepo haziendani
Hapo ndiyo ujue kuwa Tanzania is a very significant country kwa Marekani, ila tulio wengi hatujui kabisa hilo. Tanzania ina ubalozi mkubwa wa Marekani kuzidi nchi zote Afrika. Ni huu mpya uliojengwa baada ya tukio la mwaka 1998 la balozi za Kenya na Tanzania.
 
Ha ha ha kwa hiyo aliachia Mashehe sababu dini yake?

Mimi najua mahakama Ndio iliwaachia

Kulikuwa na mkono wake?

Kama USA wana ushahidi kuwa wale Mashehe walikuwa magaidi na mama akawaachia kazi anayo!!
 
Aliwahi kuishi hapa miaka ya nyuma akiwa anafanya kazi kama daktari. Kwa hiyo alikuwa ni Balozi mmarekani mtanzania. I liked him too
Aisee sikufahamu hilo. Ndio maana hakuwa mtu wa shari, matukio na matamko kila leo. Ngoja tuone huyu mpya atakuwaje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…