Wasifu wa Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini Tanzania, Prof. Roeland van de Geer

Wasifu wa Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini Tanzania, Prof. Roeland van de Geer

BEHOLD

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2013
Posts
5,056
Reaction score
10,721
DATE OF BIRTH - 19 February 1953.

EDUCATION:

1970 to 1978 Free University, Amsterdam, the Netherlands
Public Administration, Political Science and International Relations

PROFESSIONAL EXPERIENCE:

2010 - 2015
European Union ambassador to South Africa.

March 2007 - 2010
Special Representative of the European Union for the Great Lakes Region

2006 - 2007
Ambassador of the Netherlands in Afghanistan

2005 - 2006
Visiting Professor, teaching in Europe, Africa and Latin America,

2002 - 2005
Africa Director, Ministry of Foreign Affairs, the Netherlands

1998 - 2002
Western Hemisphere Director, Ministry of Foreign Affairs, the Netherlands

1994 - 1998
Ambassador of the Netherlands in Mozambique

1991 - 1994
Head Southern Africa Department (Development), Ministry of Foreign Affairs, the Netherlands

1990 - 1991
Head Northern Africa Department (Development), Ministry of Foreign Affairs, the Netherlands

1986 - 1989
Free University, Amsterdam
Centre for Development Co-operation Services
Deputy Director and Head, Natural Resource Development Section

1982 - 1986
Southern Africa Department (Political), Ministry of Foreign Affairs, the Netherlands

1978 - 1982
Free University, Amsterdam on secondment to the National University of Lesotho and the Government of Lesotho

Ukiona watu wenye uzoefu mkubwa kama hawa wana-doubt uelekeo wenu, msiwapuuze.
 
Mimi napendaga kuwa katikati kwa vitu nisivyojua details zake. Sio mpenzi wa siasa. Ukiweka ushabiki pembeni utaweza jiuliza maswali ambayo pengine sababu ya ushabiki hutojiuliza.

Hili ni moja wapo, sijui kafanya nini, kamkosoa jiwe kwenye mambo ya msingi au kaingia kwenye 18 kama ya maswala ya utekaji Mo. Kwa kifupi sijui sababu ya kufukuzwa.

Balazo ana Deplomatic Immunity, inamaanisha hata akiua au kubaka uwezi mshitaki au hata kumtangaza. Unachoweza fanya ni kumfukuza.

Hatujui nini kimetokea, na kwa deplomatic status yake chances are hatutojua. Kwahiyo mtoa mada siwezi kukuunga mkono wala kukupinga. Time will tell.

Ila kama EU wenyewe wakikaa kimya, na kukubali kumtoa kimya kimya, basi uwezekano mkubwa Balozi mwenyewe ndo kazingua.

Unajua nwanzo tulikuwa waoga mno, tuna nyenyekea mpaka tunakuwa kama wa sen... e vile.
 
Huyo ni uvccm msamehe bure, kubishana na uvccm ni sawa na kubishana na mtoto mwenye mental retardation
Nakumbuka wakati wa sakata la Mo,maswali yalikuwa mengi wakati Sirro alipotoa picha ya gari!Baadhi ya maswali ni haya÷
1. CCTV angle mbona iko chini sana utafikiri mtu aliyesimama amepiga picha gari?
2. CCTV gani picha iko clear hivyo???

Majibu ya huyo mfia chama YEHODAYA kama sehemu ya kumtetea Sirro yalikuwa haya!
1. CCTV sio lazima ifungwe juu,unaweza funga hata ikuchukue makalio kama utapenda!
2. Hizo CCTV camera mnazoonaga ni za low quality,pale hotelini zilikuwepo za high quality!

Kwakweli sitasahau haya majibu ya huyu mdau,mpaka leo nikikumbuka nacheka sana!
 
Hii dunia haitaacha kuwa na porojo watu.. ati umemaliziaje?
 
Nakumbuka wakati wa sakata la Mo,maswali yalikuwa mengi wakati Sirro alipotoa picha ya gari!Baadhi ya maswali ni haya÷
1.CCTV angle mbona iko chini sana utafikiri mtu aliyesimama amepiga picha gari?
2.CCTV gani picha iko clear hivyo???

Majibu ya huyo mfia chama YEHODAYA kama sehemu ya kumtetea Sirro yalikuwa haya!!!!
1.CCTV sio lazima ifungwe juu,unaweza funga hata ikuchukue makalio kama utapenda!
2.Hizo CCTV camera mnazoonaga ni za low quality,pale hotelini zilikuwepo za high quality!!!

Kwakweli sitasahau haya majibu ya huyu mdau,mpaka leo nikikumbuka nacheka sana!!!!
Eti ccm ndiyo wanajisifu tumeweka vijana mitandaoni kwa ajili ya kutetea chama
 
Hiyo CV ya kichovu kinoma, kumbe hana PhD kama ya rais wetu.Si ajabu huyo balozi hata kiingereza hajui, sijui alipataje hizo degree.
 
Hata angekuwa na CV page 1000 bado yeye ni agent Wa wakoloni. Watutawale kiuchumi na hata kila kitu chetu kwao hakifai
Magi oyeeee! Ondoa balozi yeyote atajaribu kuingialia maadili yetu! Fukuza!!
 
Hata angekuwa na CV page 1000 bado yeye ni agent Wa wakoloni. Watutawale kiuchumi na hata kila kitu chetu kwao hakifai
Magi oyeeee! Ondoa balozi yeyote atajaribu kuingialia maadili yetu! Fukuza!!
Mipaka ya nchi yako yenyewe iliwekwa na wakoloni, tuifute basi tuondoe alama zao zote.
 
Mipaka ya nchi yako yenyewe iliwekwa na wakoloni, tuifute basi tuondoe alama zao zote.
Mkuu ni kweli ulichosema. Lakini hiyo isiwe kigezo cha kuwa submissive kwa kila anachosema mdhungu. Tumekuwa wakubwa sasa twaweza kufanya maamuzi yetu wenyewe
 
Mkuu ni kweli ulichosema. Lakini hiyo isiwe kigezo cha kuwa submissive kwa kila anachosema mdhungu. Tumekuwa wakubwa sasa twaweza kufanya maamuzi yetu wenyewe
Maamuzi yetu wenyewe!!! Hata kabunduki hujui kutengeneza,kikokotoo ndio hata hujawahi kuwaza namna ya utengenezaji wake,sasa unaweza kuwa na maamuzi yoyote juu ya taifa lako???

Ungeana na madogo kwanza ili baadae ufanye hayo walioshindwa kaka zako
 
Back
Top Bottom