Wasifu wa Bernard Kamilius Membe

Kuna nini huko chamani maana naona membe membe
 

kwa CV hii , Kumbe ulikuwa ni uongo kwamba Membe abhusiana na ukoo wa mzee Mrisho.Kwamba ni mtoto wa nje wa mzee mrisho
 
Kwa akili ya kawaida tu ya form one F ,kuna kakikao ka kinyemela kumpromote huyu kwa urais wa 2025
 
Tulia wewe dawa ikuingie
 
Unasemea Watanzania au Wachato?
 
Kwani napitwa na yapi asee mbona kila nikiingia humu ni thread za membe tu.
 
Huyu amepimika kotekote. On paper na katika utendaji.
Lakini tunataka pia 'a detailed info', katika madudu aliyoyatenda akiwa na nyadhifa hizo

Kwa haya yaliyoletwa hapa, elimu inamruhusu vizuri; uhusiano wa kimataifa unamruhusu vizuri.
Kuendesha uchumi wa nchi - mikataba mibovu ya Kikwete na wawekezaji inamhusu? That was a disaster of unproportional dimension! Mali za nchi zinatupwatupwa tu kama takataka?
Kwenye hili itahitajika aonekane hakuhusika kabisa na ufujaji huo wa mali zetu.

Kwa sasa, kutokana na yaliyoandikwa hapa na yanayojulikana katika uendeshaji wake wa Wizara ya Mambo ya Nje nampa grade ya C+ katika sifa za kuwa rais wa nchi yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…