Wasifu wa Dr. Jonas Benedict Tiboroha mgombea uenyekiti Yanga

vilabu vya soka la bongo lina hitaji vitu viwili tu yaani aither kimoja kianze au vianze kwa pamoja
1 Pesa kwa ajili ya investment+mipango+e.t.c
2Mipango

Kwa wana yanga nawashauri wao option yao ya kuanzia ni 2 ...wakimchagua Dr.Tiboroha ni dhairi kwa CV yake tu inambeba naona onekana ni mzuri ktk planning JAPO hana Pesa za investment lkn anaweza kuwaletea pesa za investment SIMBA wali OPT 1 Pesa ndio inaleta mioango ya investment kuelekea maendeleo ya soka lao
 
Nakumbuka huyu ndugu nilikuwa mdogo sana nilipata kukutana nae trondheim Norway.
 
Tiboroha anafaa aliondoka Yanga baada ya kugundulika na Manji ana leta Planning ya kujitegemea sana .Kanji akaona ataharibiwa ndo kusingiziwa ameover spend lakini wachezaji hao ndo walitufanya gutembee kifua mbele sana.
 

Pamoja na sifa hizi nzuri lakini kwa sasa Yanga inamuhitaji mtu mwingine...Nadhani Yanga inamuhitaji Dk. Msola kama Mwenyekiti na Mwakalebela kama Makamu mwenyekiti...huyu anayeitwa Tibo ameshawahi kuitmikia Yanga kama Katibu Mkuu...inatosha...
 
Huyu Ndiyo Anafaa kuongoza. Ataanzisha program za vijana. Waje watu wapya na Fikra mpya sio wa zamani na fikra za zamani zilizoshindw sijui igangula nk

Huyu naye ni wa zamani ...ameshawahi kuongoza Yanga kama katibu mkuu...je, alianzisha programu alipokuwa kwenye nafasi hiyo? sikumbuki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…