Elections 2010 Wasifu wa Dr. Slaa: Download, SAMBAZA!

Status
Not open for further replies.

Triple DDD,tafadhali.Hizi ndo siasa tusizozitaka.Yeye Batilda hakuchagua kuzaliwa na mama yake (kama ni kweli habari hizi),wala hakuchagua kuwa na ndugu waovu. Kama kuna mahali ambapo alitumia nafasi yake kama mbunge au waziri kupindisha haki,unaweza kuzungumzia.Ila habari ya yeye kuwa na baba asiyemjua(kama mama yake ni Mtanzania,inampa haki ya kuwa Mtanzania kama ambavyo Obama ni mmarekani) sidhani kama zinatusaidia hapa.
 

Je wewe ni mmojawapo wa Tukukuru walioamriwa kumchafua? kama sivyo basi acha mchecheto
 
Nimekugongea thanks King'asti maana hii tena imekuwa toooooooo much! Kutukanwa mama wa watu mpaka matusi ya nguoni vina faida gani? Kama hutaki kuipigia CCM huo ni uamuzi wako lakini matusi hayasaidii cho chote.

Eti mama ni "son of a bitch .... material of no commercial value" - hamuwachi nyinyi akina Triple D.

Si ndiyo huko kanisani munaambiwa kabla ya kuondoa kibanzi kwenye jicho la mwenzako uondoe boriti kwenye jicho lako. Au mahubiri yamebadilika kwenye kampeni hivi sasa?
 
kuna posti iliyohoji huyu mgombea kwa tiketi ya CHADEMA kapataje doctorate yake. Mi naangalia mdahalo ITV, sina wasiwasi iwe ka-upgrade certificates au nini, the guy IS A DOCTOR.
 
kuna psoti iliyohoji huyu mgombea kwa tiketi ya CHADEMA kapataje docotorate yake. naangala mdahalo ITV, sina wasiwasi aidha ka-upgrade certificates au nini, the guy IS A DOCTOR.

hahaaaaa Huyu sio Dakta wa kupewa na akina Kalonzo....Dahhh anapiga vitu vikali sana
 
dah,aisee bora kuwa mjinga lakini usiwape nafasi hawa mafisadi wakuingize kwenye 10 zao
 
Jamani endeleeni kuturushia na sisi tulioko Mabondeni. Runinga asishiki huku
 
Ungeonesha mfano kwa kukomenti bila ya kurejea kumtukana tena

 
Dk kazungumza kuhusu kila kitu, well, ambavyo pia mwanamipasho wa Chama Chao Ma.....i:
1. kuhusu udini
2. wala rushwa na mafisadi
3. elimu bure is possible as long as kijana wetu wa sasa ana-spend bil 50 in campaign
4. wizi wa Meremeta hauvumiliki hata kama ni geshi ra wananji
5. kila anachosema kina evidence athawaiz angekuwa behind bars in Karanga longiiii
6. game not played followng rules is bullshit, haivumiliki
7. lazima mpige kura for Christ sake
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…