Wasifu wa Hayati Bob Nyanga Makani

Kushobokea uongo kuna siku utajikuta umesokomezwa limti matakoni.
 
Jina ya BOB alilipata Tabora boys aliwahi kigiza wakiwa shuleni kama MR Robert.Waliosoma naye waliendelea kumwita hivyo hadi ikazoeleka ROBERT = BOB
Kumbe amesoma Tabora Boys?
Safi sanaaaaaa... Kipaji mwenzangu
 
Kati ya wasukuma wastaarabu na wenye hekima, mmoja aliyekuwepo ni Bob Makani.
 
Bob nyanga makani...da alikuwa anapiga fegi balaa..nakumbuka kwa ngokolo alikuwa akifanya mikutano yake ya kugombea ubunge kwenye ule mti mkubwa wa bugoyi shule ya msingi...yaani alikuwa na sera sijui ccm ilikuwa inamshindaje shinyanga
Kwa fegi - alizipiga kweli kweli- mwaka 1995- alipokuja kugombea ubunge kwa Mara kwanza Shy town- alitualika baadhi ya wanafunzi nyumbani kwake uzunguni shy- yaani sebuleni ni mabunda ya sigara- watu walimkubali sana hasa mjini- vijijini ndio ilikuwa shida- pia mtu alikuwa ana shindana nae- Derefa- alikuwa anaushawishi kubwa- Derefa alikuwa-mtu wa watu- sifa yake kubwa ni kuhudhuria misiba- bila ubaguzi- Marehemu Derefa pia alikuwa mtu ya fegi balaa.
 
Bob nyanga makani...da alikuwa anapiga fegi balaa..nakumbuka kwa ngokolo alikuwa akifanya mikutano yake ya kugombea ubunge kwenye ule mti mkubwa wa bugoyi shule ya msingi...yaani alikuwa na sera sijui ccm ilikuwa inamshindaje shinyanga
Aise huyu mzee alikuwa anapiga Fegi sio poa nilikwa nasoma mjukuu wake Esscs academy mbezi Beach alikuwa anamleta kila asubuhi mzee akiwa anapiga fegi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…