marcoveratti
JF-Expert Member
- Sep 21, 2017
- 1,019
- 1,824
doh!!Wangempa Julio tu
MBONA ANAONEKANA MZEE SANA KUZIDI HATA MIAKA ALIYONAYOKocha mkuu mpya wa Taifa Stars
Born : December 25,1970 ( Nigeria )
Playing Position : Winger
Amechezea timu ya Taifa lake Nigeria 1993-2001.
Baadhi ya vilabu ambavyo alishawahi kuchezea:
Zamalek 1991-1994
Sporting CP 1994-1996
Barcelona 1996-2000
Alishawahi kuwa kocha mkuu wa timu zifuatazo :
Julius Berger 2008-2009
Ocean Boys 2009-2011
Nigeria U17 2014-2017
Al Khartoum SC 2017-2018
Source (www.instagram.com/mwanaspotiapp)View attachment 828641
Ndio yale yale ya Taribo West kupunguza miaka 25 kwenye vyeti vyake.MBONA ANAONEKANA MZEE SANA KUZIDI HATA MIAKA ALIYONAYO
Ila watu wa Afrika kaskazini huwa wana fake sana umri. Kwa anavyo onekana huyu sio wa 1970, atakua alizaliwa mid or late 60s. Anyway sio issue maana kwa kocha anaweza kufanya kazi hiyo hata akiwa na miaka 70 kama ilivyokua kwa babu FergusonKocha mkuu mpya wa Taifa Stars
Born : December 25,1970 ( Nigeria )
Playing Position : Winger
Aisee!!!Mmh! Sura yake sasa.
Anyway Amsalimiye Mizengo Pjnda
wewe unataka uzee au timu ifundishwe na ifanikiwe?MBONA ANAONEKANA MZEE SANA KUZIDI HATA MIAKA ALIYONAYO