Wasifu wa marehemu

Wasifu wa marehemu

Digaller

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2009
Posts
798
Reaction score
541
  • Marehemu amesoma mpaka chekechea.
  • alipofikisha umri wa miaka 18 marehemu alijiunga na kundi la ujambazi.
  • marehemu kafa kwa ngoma.
Mungu amlaze Jehanum..........!!! Je kuna jirani yako wasifu kama huo?
 
Dah noma,msiba wenyewe mpaka hapo hauna mtu hata m1
 
Anayesoma wasifu lazima nae awe jambazi
 
Jamani kamam hiyo ndio historia yake sasa wataandika nini?
 
ndugu watachakachua iwe kinyume chake.tangu nianze kuzika cjaskia m2 kafa kwa ngoma.
 
tunashukuru mola umemtwaa huyu marehemu alikuwa kero mtaani hatuaniki nguo nje..
eeh mungu umchome moto kabisa tumsahau..
 
Tehe tehe tehe. Mungu amlze pema pepon hata km amekfa kw ngoma.
 
Back
Top Bottom