Wasifu wa Mhe Sophia Simba kielimu...


Kwenye RED hicho kingereza vipi hapo?

Kwenye BLUE nia yako nini hasa kutuletea hiyo hoja? Umetumwa na Magamba nini?
 
Huyu mwanamke haonekani kabisa kama ni msomi. CV yake ni foji tu: Nakumbuka kusoma wasifu wake sio siku nyingi sana hakuna mahali inaonyeshwa ana shahada, licha ya uzamili. Ni msakaji madaraka kwa rushwa maarufu na mtetezi wa mafisadi ili wamfadhili. Ni mropokaji afadhali akina mama wa mtaani wanajiheshimu. Ona jinsi alivyotoka jukwaani kuja kumtukana shyrose banji kwa kumuuliza swali gumu kwenye kampeni ya uenyekiti UWT.!!. Ingefaa CCM watupunguzie vituko kwa kumuweka pembeni.
 
ndo maana mi nimegonga boonge la like kwenye cooked cv!!!
 



nayo pia ni cv ati,,,,!!
 
=Lokissa;kama ni hivo mbona utendaji wake hauendani na elimu yake?
ndo hivyo mkuu hiyo ni divai mpya kwenye kiriba chakavu.
 
Leo nimechek hotuba yake ya MJJW. Sijui wengine. Ila mbona TBC imekata live
 

Hivi watu wenye Certificate of Law wanaweza kujiunga kusoma level ya degree? Maana huyu kamaliza certificate 1987 na akaanza degree 1987. Ahsante kwa taarifa
 
Labda huko zamani kabla wanasheria kuwa wengi, hata hivyo tafadhalini mwenye ufahamu atuelimishe kuhusu certificate kwenda chuo kikuu kwa Mama Sofia Simba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…