Wasikilize wamarekani na demokrasia

Wasikilize wamarekani na demokrasia

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Wanasema hatuna ahadi ya utii kwa tajiri Trump wala Elon Musk, bali Serikali ya America.

Wanasema hatuna ahadi ya utii kwa tajiri Trump wala Elon Musk, bali Serikali ya America.
Elon Musk ameingia choo cha kike. Itabidi aikimbie nchi baada ya utawala wa Trump. Otherwise, he will pay a high price!
 
Mbona wewe unamtii Mbowe badala ya Chadema? 🐼
Nimesema, sina uswahiba na Mbowe hata kidogo. Nasema behavior ya Lisu kwenye kampeni, siwezi kuwa mfuasi wa mtu kama huyo! Siwezi kuongozwa na mtu kama huyo. SAWA NA CCM, SIWEZI KUUNGA MKONO ccm NA VIONGOZI WAKE, SIWEZI KATU! MAANA WAO NI MASHETANI, SIWEZI KUUNGANA NA SHETANI!

LISU WAS MY NO.1 FAVORITE POLITICIAN!
 
Wewe ni team Mbowe maana yake unaiunga mkono Chama Dume utake usitake 🐼
 
Back
Top Bottom