Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 4,035
- 11,462
Kama ndiyo hivyo uchaguzi noUnamaanisha mtu anashitukia tu kapigiwa simu bila maombi ya kazi hiyo na kuambiwa ameteuliwa kuwa msimamizi tayari?
Ndiyo hivyo mkuuUnamaanisha mtu anashitukia tu kapigiwa simu bila maombi ya kazi hiyo na kuambiwa ameteuliwa kuwa msimamizi tayari?
Huu ndiyo upumbavu tulioukataaUna kadi !?
Like brother like sisterHuu ndiyo upumbavu tulioukataa
Nausogeza Juu Kabisa Halafu Unawekwa StickerWadau Uzi huu uwe active.
Mmeanza mikwara yenu keyboard warriors!Kama ndiyo hivyo uchaguzi no
Kata gani na halimashauri ipiAcha uongo mkuu, mm nafanya biashara zangu huku Mwanza, mbona Tangazo lilibandikwa Kwenye Ofisi ya Katibu Kata nadhan wanamuita Mtendaji Kata sijui Afisa Mtendaji Kata...
Ushahidi Gani mkuu? Uliza utaambiwaLeta ushahidi wa mtu hata mmoja aliyepigiwa simu bila yeye kuomba kuwa msimamizi wa uchaguzi.
Bila ushahidi huu ni uzushi na kuweweseka na kutafuta visingizio. Burden of proof ipo kwa aliyeleta haya madai.
Ndio nimeuliza leta huo ushahidiUshahidi Gani mkuu? Uliza utaambiwa
Waulizwe CCM ndio wanapanga kila kitu hadi ushindi!
Waulizwe CCM ndio wanapanga kila kitu hadi ushindi!
Siwezi kufuta na ushahidi ninaoNdio nimeuliza leta huo ushahidi
Watu waliopigiwa simu wakiwa hawajaomba hiyo kazi ya usimamizi.Kama huna ushahidi basi withdraw hilo andiko lako.