Huna ushahidi na ni uchochezi.Siwezi kufuta na ushahidi ninao
Tulipotaka Katiba mpya ije kabla ya uchaguzi kuna wengine hawakuona umuhimu.Huu uchaguzi umeanza kwa wasimamizi kupigiwa simu badala ya kutoa Matangazo ya watu kutuma maombi ya kusimamia uchaguzi huo. Hii inaleta picha kuwa Serikali kupitia TAMISEMI imeamua kuharibu tena uchaguzi kwa makusudi.
Haya mambo siyo ya kufumbia macho kabisa Serikali fuateni utaratibu hawa watumishi mnaowapigia simu wakasimamie zoezi hili bila kutuma maombi watasimamia kwa uweledi kweli zoezi hili nyeti kuelekea uchaguzi mkuu?
Huu uchaguzi umeanza kwa wasimamizi kupigiwa simu badala ya kutoa Matangazo ya watu kutuma maombi ya kusimamia uchaguzi huo. Hii inaleta picha kuwa Serikali kupitia TAMISEMI imeamua kuharibu tena uchaguzi kwa makusudi.
Haya mambo siyo ya kufumbia macho kabisa Serikali fuateni utaratibu hawa watumishi mnaowapigia simu wakasimamie zoezi hili bila kutuma maombi watasimamia kwa uweledi kweli zo
zi hili nyeti kuelekea uchaguzi mkuu?.
Teh!Huu uchaguzi umeanza kwa wasimamizi kupigiwa simu badala ya kutoa Matangazo ya watu kutuma maombi ya kusimamia uchaguzi huo. Hii inaleta picha kuwa Serikali kupitia TAMISEMI imeamua kuharibu tena uchaguzi kwa makusudi.
Haya mambo siyo ya kufumbia macho kabisa Serikali fuateni utaratibu hawa watumishi mnaowapigia simu wakasimamie zoezi hili bila kutuma maombi watasimamia kwa uweledi kweli zoezi hili nyeti kuelekea uchaguzi mkuu?
Kata zote TanzaniaKata gani na halimashauri ipi