Elections 2010 Wasimamizi uchaguzi: Walimu wamwagwa pwa!

The Dreamer

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2009
Posts
1,282
Reaction score
21
Mabibi na mabwana heshima mbele.

Taarifa za uhakika kabisa walimu walioomba kusimamia uchaguzi jimbo la Karagwe wamemwagwa pwa! Kwa mfano kata za Kayanga na Ndama wamechukuliwa watu wa kawaida (bila shaka mrengo wa JK). Hii inatafsiriwa kuwa ni hofu ya Mkulu juu ya Umma wa wafanyakazi usiomfagilia. Habari ndiyo hiyo
 


Kuna jamaa zangu ni waali maeneo mengi sana ya morogoro wamepata nafasi za kusimamia, wengi nilioongea nao wanaonyesha kutokuwa tayari kutumika kama daraja la ccm
 
wale waliim si ndo waliambiwa kuwa hata wagome miaka nane hawapati kitu!!!!
 
Sasa ndio wakati wa Walimu hao kufanya maamuzi magumu kwa kuwachagua wagombea watakaoleta mabadiliko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…