BigTall
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 525
- 1,257
Kituo cha mwendokasi Kimara pia usimamizi ni mbovu sana, yaani unakuta magari yapo ya kutosha, abiria wanajaa kituoni kwa zaidi ya saa mbili.
Madereva wanapitapita tu kama hawaoni kinachoendelea,kuna muda magari yanaondoka yakiwa tupu kituoni, yanaacha abiria.
Vituo vya DART Mwendokasi havithamini abiria, wanafanya watakavyo.