Wacha kabisa mambo ya kupiga piga,piga mtu acha kulalamika lalamika hapa
mzabe kibao dereva tutakutetea
Hakika wanakera, nimeingia kituoni saa nane na 40dk mchana huu, nimekaa hadi saa 9 na 20dk nimeamua kutoka kwenda kupanda daladala, kwani muda hausubiri. Magari yalikuwa yanakuja ya Moroko yakija kima mara 2 yamejaa hadi pa kuingia hakuna. Inakera sana.Kituo cha mwendokasi Kimara pia usimamizi ni mbovu sana, yaani unakuta magari yapo ya kutosha, abiria wanajaa kituoni kwa zaidi ya saa mbili.
Madereva wanapitapita tu kama hawaoni kinachoendelea,kuna muda magari yanaondoka yakiwa tupu kituoni, yanaacha abiria.
Vituo vya DART Mwendokasi havithamini abiria, wanafanya watakavyo.