Wasimamizi wa mitihani ya NECTA kuweni makini Civics imevuja

Evz

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2014
Posts
674
Reaction score
130
Wana jukwaa la elimu habari zenu. Leo katika pitapita yangu katika shule fulani ya sekondari jijini Dar-es-salaam nimekutana na wafunzi saa kumi na mbili wakiwa katika harakati za kupeana majibu. Nilichokigundua ni baada ya kumalizika kwa somo la uraia(civics) ni kuwa baadhi ya maswali walikuwa wanadiscuss ndiyo yaliyotokea kwenye mtihani wa civics. Ombi langu kwa serikali kupitia wizara ya elimu kuweni makini tusije tukazalisha wahitimu bora wasiokuwa na weledi katika taifa hili.
 
sasa unawasii wawe makini wasimamizi kivipi? au unaisii serikari kupitia wizara ya elimu?
 
hachana na hayo mmbo...!nadhani ww pia umepita huko.nani acye penda kupata possible ya necta..?madogo kama wamepata bac,kila lakheri katika mitihani yao..kuna watu wana weledi mkubwa sana katika nchi hii na pengine ni viongozi wakubwa tena wazuri lakini wapo hapo walipo kwa hizo possible unazo zungumzia ww.
 
Kwaan siku hizi kuna cha weledi basi? Yote ndio yaleyale, we waache madogo wafanye vitu vyao bhana!
 
usiwakazie madogo ivoo bhna.. kwanza civics yenyew haina combination...kama wamebahatisha viwili vitatu waache??
 
Mkuu Evz baadhi ya maswali haimaanishi umevuja, nahisi hata wewe unaweza kukaa chini na kujaribu kukadiria maswali gani yatatoka, wakati nasoma kuna swali lilikuwa linatoka kila mwaka just lanabadilishwa maneno ya uulizaji... Hivyo usiweke conclusion kwamba umvuja...
 
Last edited by a moderator:
Wewe vp wewe. Watu wafaulu ndo nyie mliopitia tundu za sindano
 
Usiwaharibie wadogo zako bhana;
Kwani hayo maswali ya mitihani si ni mojawapo ya vitu walivyofundishwa?
 
kwa hiyo mwalimu umeamua kuja kutuanika huku JF,hata hivyo yametoka matatu tu kati ya yale manne uliyotunyan'nganya
 
We jamaa mbna mnoko hvyo afu we ni mwanaume acha zakooooo we mwenyewe si ajabu umepitia hukooo we vipii we tena mwongo we umejuaje kuwa yalitoka hayo hayo we ulikuwa unapita au ulikuwa kwenye discussion.....na unaleta hapa cc tukusaidie nn
 
posibo bila kusoma hakuna kitu nduguu..unaweza kua na posibo na ukapiga ovyo
 
wacha wapate tu maana mtihani wenyewe kama huna general knowledge ya kuweza kuexplain vizuri na kutoa mifano hai umekwisha
 

Hivi weewee maswali ya mtihani huwa ni mapya? Kwa taarifa si mapya ni marudio mengine. Kwa hiyo wanafunzi wakifanya revision wanatumia past papers so ni likely kubahatika kukuta maswali yamerudiwa. Kazi unayo.
 
Hahaha.. jamaa anazingua... inawezekana yeye kasota sana.... sikuhizi mteremko bwana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…