khomgodlove Member Joined Nov 17, 2018 Posts 33 Reaction score 22 Feb 15, 2019 #1 Nchi ya finland imeanza kujaribu wazo la kulipa ama kuwapa hela kila mwezi watu wasio na ajira kama motisha waweze kutafuta kazi ,world economic forum wanasema ndo nchi ya kwanza ulaya kujaribu mfumo huo...zaidi bonyeza link Sent using Jamii Forums mobile app
Nchi ya finland imeanza kujaribu wazo la kulipa ama kuwapa hela kila mwezi watu wasio na ajira kama motisha waweze kutafuta kazi ,world economic forum wanasema ndo nchi ya kwanza ulaya kujaribu mfumo huo...zaidi bonyeza link Sent using Jamii Forums mobile app
Inna JF-Expert Member Joined Jan 13, 2017 Posts 11,193 Reaction score 27,078 Feb 15, 2019 #2 Itabidi tuhamie huko
Bonny JF-Expert Member Joined Feb 21, 2013 Posts 13,370 Reaction score 29,968 Feb 15, 2019 #3 Ha ha ha ha Mkuu Ungeanza na kuandika Finland... then hayo maelezo kwenye heading yako.
princemikazo JF-Expert Member Joined Jan 10, 2019 Posts 2,195 Reaction score 2,056 Feb 15, 2019 #4 Ngoja nikate ma ticket chap na haraka..