Wasiochaguliwa tcu

Check hadi down flan nimeweka attachement kwa pdf mkuu
 
Chezea tcu ww...
 
hilo nalo neno...
 
Nadhani wanayoizungumzia tcu ni ile "application 2nd round" kabla ya kufungua "my profile".
 
Nadhani wanayoizungumzia tcu ni ile "application 2nd round" kabla ya kufungua "my profile".
jombaa mbona umeni quote vibayaaaaaaaaaaaah!!! soma tena kwa umakini reply yangu uelewe kuingia jf na cm za kichina kunapagawisha baadhi ya watu" a" atasema "u"
 
If that is the case how many people will know that kind of CODE?.........well because it look like a code to me!!
 
jombaa mbona umeni quote vibayaaaaaaaaaaaah!!! soma tena kwa umakini reply yangu uelewe kuingia jf na cm za kichina kunapagawisha baadhi ya watu" a" atasema "u"

Wewe ndo huelewi hata ulichouliza! Sasa hapo nimekunukuu vibaya wapi? Umeuliza uki-login kwenye a/c yako unakuta ile "application 2nd round" not active,ila ukifungua 'my profile' unakuta "application 2nd round" ipo active. Nimekujibu kwamba;"Nadhani tcu wanamaanisha utazame "application 2nd round" kabla ya kufungua my profile. Nilicho-quote vibaya ni kipi? Alafu unauhakika gani kama natumia simu ya kichina kuingia JF?
 
Unselected alicant?mbona haipo?kuna unselected applicant!Wewe ni alicant au applicant?
 
jamani mie sikuwa na principal pass nikiapplya naweza pata???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…