Wasiofunga wakiendelea kufaidi futari za Michongo, huku Masikini waliofunga wakifuturu Maji ya Madafu

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
143,138
Reaction score
288,731
Hii ni futari iliyoandaliwa na Wasafi, huku wanaofuturishwa hawakuwahi kufunga Ramadhan akiwemo huyo Millard Ayo



Lakini cha kushangaza ni kugeuza futari hiyo kuwa bango la matangazo ya biashara!



Ukweli ni kwamba hatujawahi kukataza watu kualikana misosi wala hatujawahi kukataza watu kutangaza Biashara zao, bali tunachokataa ni kuisingizia futari kufanya mambo hayo, hakuna haja ya kulazimisha laana.

Wabhillah Tawfiq.
 
Muislam hushukuru anachopata hii mada yako ni uchonganishi dhidi ya waislamu mwezi wapo kwenye mwezi mtukufu hawasapoti unafiq!
 
Wakiambiwa ukweli wananuna

 
Usiwapangie watu pesa zao namna ya kuzitumia.
 
Dini ni biashara, huelewi nini?
 

Dharau zile,,,,fimbo zahitajika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…