#COVID19 Wasioitaka chanjo ya korona Tanzania hawa hapa

G4N

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2014
Posts
4,283
Reaction score
9,925
Pita sehemu mbalimbali hapa Tanzania ambako kuna ulazima wa kuvaa barakoa. Kisha angalia idadi ya watu waliovaa barakoa kwa hiari yao. Ni wachache sana. Ukiangalia makanisani, misikitini, viwanja vya michezo, masokoni, harusini, vyombo vya usafiri , minqdani, n.k watu hawana habari na barakoa.

Idadi hiyo ndogo ya waliovaa barakoa ndiyo ina uwezekano mkubwa wa kutaka chanjo. Lakini hata katika hilo kundi dogo zaidi ya nusu yao hawataki chanjo.

Nataka kusema nini katika hii mada? Kama kweli chanjo itakuwa ya hiari basi watakao chanjwa hawatazidi laki tano.
 
Watumishi wa umma mjiandae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…