Wakuu ..
Tukubaliane tu bila kupepesa macho.
Ukweli mchungu hii Miamba miwili Dr@Christopher Cylilo na Kaka mkubwa kilawa Shindo wameishi maisha ya sekeseke Sana kipindi Cha Awamu ya 5.
Huwa kila nikikumbuka Hawa jamaa walivyopambana na wasiojulikana wanaojulikana huwa nacheka Sana.
Shikashika ya Hawa jamaa ilikuwa ya ajabu Sana ...ilikuwa haichelewi Mara unasikia tu Dr Christopher yupo Central na makosa yake haajulikani.
Ila Kaka mkubwa Kilawa Shindo alienda akanyoosha mikono..Sasa ikawa kila baada ya muda tunasikia Bring Back Dr Cylilo.
Mara hatujapoa tu tunasikia Tena Dr Cylilo kakamatwa akitoka kazini Kwake.
Kuna muda nikawa najiuliza hivi Hawa jamaa kwa kushikwa kule hivi vibarua vyao vilikuwa vinaponaje.
Mtu anatoka kazini Kwake kuelekea kujipumzisha nyumbani halafu unajikuta unapumzikia Central asubuhi unaamkia Job.
Hakika Hawa jamaa wamenionyesha upambanaji uliotukuka
Hongereni kwa kupita salama katika Zama za Giza..