Wasiojulikana, wanajulikana ila ndiyo tumebaki kuwatazama tu

Wasiojulikana, wanajulikana ila ndiyo tumebaki kuwatazama tu

chizcom

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
8,680
Reaction score
18,035
katika kesi inayoendeleea kuhusu shutuma ya ugaidi na mengine, kila siku tunazidi kufahamu mambo mengi na zaidi!

kesi hii imetusaidia kujua
: Muongoza wa polisi PGO
: Wasiojulikana
: Ubambikaji wa kesi
: Ubabe unaofanywa na tawala au watu tawala
: Mapungufu ya utawala na kuzima wanaharakati


IMG_0930.jpg


katika kitu ambacho kinazidi kuwa fumbua watu kuanzia kesi ya leo tarehe 28-9-2021.

kuna watu ambao wanadaiwa kutishiwa kupotezwa na wengine kutojulikana japo wanatajwa ila hawapo tena !

je ni kweli matukio yote ya kupotewa watu tuliowafahamu !
ndio kichwa cha habari kinavo sema !

2025 inapoleekea ! maana
tutakuwa hivi
IMG_0929.jpg
 
chizcom

Tusitishane hapo. Sirro awalete Lijenje na Urio wakiwa hai.

Tuanzie hapo kwanza.
 
Kama makomdoo walioapa kutulinda mpaka kufa tukiwa timelala na wake zetu wanapotezwa akina mimi huku si tushapotezwa sana
 
Back
Top Bottom