Mwanasayansi Kalivubha
JF-Expert Member
- Feb 4, 2024
- 344
- 926
Asiyekujua hana mpango na wewe labda tu awe kibaka wa kukwapua mmekutana njiani ila wenye njama mbaya na wewe ni wale wanaokufahamu vizuri .
Wanaokuombea mabaya wanakujua vizuri ni ngumu mtu asiyekujua ghafla tu aanze kutamani upatwe na mabaya .
Wanaotamani siku moja uaibike ni watu wa karibu yako hao ndio wanajua kipi hasa hawapendi kutoka kwako .
NINI MAANA YAKE?
JIHADHARI ZAIDI DHIDI YA WATU MNAOFAHAMIANA KUKIKO WALE MSIOFAHAMIANA KWA SABABU WANAOKUFAHAMU NDIO WASUKA MIPANGO NA WATEKELEZAJI NI AMBAO HUWAFAHAMU( WAMEPANGWA)
#Mwanasayansi Saul kalivubha.
#Mitandaoni kwa jina la Fikia Ndoto Zako.