Maccm walikipata cha moto enzi za Magufuli sidhani kama watafanya mzaha na katiba tena.Kelele za Katiba Mpya zimekwenda likizo, zimemezwa kwenye mdomo wa maridhiano.
Tusubiri Katiba Mpya tutakayoletewa na Ndumbaro.
Cha moto walipata lakini kusubiria katiba mpya tunayoitaka ya kuletewa na wao, ni heri kusubiri kamba kupinda kwenye tundu la sindano.Maccm walikipata cha moto enzi za Magufuli sidhani kama watafanya mzaha na katiba tena.
Hao wanaocheza ngoma ya kila mwenyekiti wao siwezi kuwaamini hata mara moja.Maccm walikipata cha moto enzi za Magufuli sidhani kama watafanya mzaha na katiba tena.
Itakuja tu japo yenye nafuuCha moto walipata lakini kusubiria katiba mpya tunayoitaka ya kuletewa na wao, ni heri kusubiri kamba kupinda kwenye tundu la sindano.
Mwenyekiti naona naye hajifunzi. Anasubiri akistafu na yeye aanze kulalamika.Hao wanaocheza ngoma ya mwenyekiti wao siwezi kuwaamini hata mara moja.
Kupigania haki za Mwafrika dhidi ya Serikali....yeyote ile au zile zote za Ulaya na Marekani si Kazi ndogo. Waafrika wametokwa na Damu kupitiliza kiasi kudai haki zao....Kuanzia Mau Mau, Wakina Mkwawa na Kina Lumumba na Thomas Sankara na hata Martin Luther King na wengine. Ni upotoshaji wa hali ya juu kudai Waafrika ndio wabinya Haki wa dizaini ya Kukubuhu kuzidi Wazungu ambao mpaka hivi leo bado wana sheria zinazowabagua watu weusi na Wengine. Yaani kuna wengine walikuwa wameandika hata kwenye Katiba zao kuwa Mwafrika hana haki kabisa ya kudai haki.Kupigania haki dhidi ya serikali za kiafrika si kazi ndogo:
Itakuja tu japo yenye nafuu
Wamesema mchakato wa Katiba mpya unaanza hivi karibuni lakini hakuna time frame utachukua muda gani.
Je kura ya maoni ya Katiba hiyo mpya itakuwa kabla ya Uchaguzi mkuu ujao?
Mkoloni mweusi anapojishasha kuwa yeye ana nafuu.Kupigania haki za Mwafrika dhidi ya Serikali....yeyote ile au zile zote za Ulaya na Marekani si Kazi ndogo. Waafrika wametokwa na Damu kupitiliza kiasi kudai haki zao....Kuanzia Mau Mau, Wakina Mkwawa na Kina Lumumba na Thomas Sankara na hata Martin Luther King na wengine. Ni upotoshaji wa hali ya juu kudai Waafrika ndio wabinya Haki wa dizaini ya Kukubuhu kuzidi Wazungu ambao mpaka hivi leo bado wana sheria zinazowabagua watu weusi na Wengine. Yaani kuna wengine walikuwa wameandika hata kwenye Katiba zao kuwa Mwafrika hana haki kabisa ya kudai haki.
Msitubeze
Upo sawa Braza J Watanzania wanawajua wahuni.
Anathema is Anathema ask those who scripted your messages before you at the Exeter and Birmingham corridors of Shame.