Wasiona majina yao kwenye website ya bodi ya mikopo

TUNTEMEKE

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2009
Posts
4,587
Reaction score
580
Jamani kama jina la mtu halipo kabisa kwenye website ya bodi inamaanisha nini?kanyimwa mkopo au hata kama umenyimwa mkopo jina lako litakuwepo na litaaondikwa no loan?naomba ufafanuzi wajumbe
 
Wakati huo jina lako halipo kweye website ya HESLB majina mengine yapo?? au ndo yote hayapo?
 
majina ya wengine yapo,sasa sijajua kama wasiokuwepo ndio hawajapata mkopo au la?
 
Jamani kama jina la mtu halipo kabisa kwenye website ya bodi inamaanisha nini?kanyimwa mkopo au hata kama umenyimwa mkopo jina lako litakuwepo na litaaondikwa no loan?naomba ufafanuzi wajumbe

tembelea link.ya tcu utapata ufumbuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…