Wasiopata mkopo

Wasiopata mkopo

Chimile

Member
Joined
Apr 25, 2012
Posts
11
Reaction score
2
Ndugu zangu, naomba kufahamu kwa sisi ambao hatujapata mkopo kama kuna taarifa ya awamu nyingine ya majina ya mkopo... truly tunnaumia sana na kuhisi kutopata chance ya kuendelea na masomo.
Kwa aliye na taarifa NTASHHUKURU KUJULISHWA
 
Back
Top Bottom