Chimile Member Joined Apr 25, 2012 Posts 11 Reaction score 2 Oct 8, 2012 #1 Ndugu zangu, naomba kufahamu kwa sisi ambao hatujapata mkopo kama kuna taarifa ya awamu nyingine ya majina ya mkopo... truly tunnaumia sana na kuhisi kutopata chance ya kuendelea na masomo. Kwa aliye na taarifa NTASHHUKURU KUJULISHWA
Ndugu zangu, naomba kufahamu kwa sisi ambao hatujapata mkopo kama kuna taarifa ya awamu nyingine ya majina ya mkopo... truly tunnaumia sana na kuhisi kutopata chance ya kuendelea na masomo. Kwa aliye na taarifa NTASHHUKURU KUJULISHWA