Wasiostahili kurudi bungeni 2010


Jamaa ni mbumbumbu hata ikitokea kuchangia hutoka nje ya mada, kama mjadala unaelekea Kaskazini yeye ataelekea Kusini
 

Naunga mkono.
sababu: Anadharau kwa wapiga kura wake na kutoa ahadi ambazo huwa atekelezi katika harambee za kuchangia maendeleo jimboni kwake
 
jina:Mh.Edo Lowasa
jimbo: Monduli
Chama : CCM
Sababu: Mwizi ametuibia mabilioni wa Tz kutokana na kashafa lake zito la Rich Monduli
 
jina:Kingunge Ngoma ya Mbali Mwitu
Jimbo: Ikulu
chama:CCM
sababu:Hana sera wala mchango wowoe kwa maendeleo ya Nchi yetu zaidi ya kueneza propaganda za CCM na kutetea mafisadi
 
jina:Jepesi Kabwela
Jimbo:Kigoma huko
chama:cha demu
sababu:ameanza kupoteza mwelekeo...anaonekana hana msimamo tena.Mara ooh naacha si hasa mara oooh wazee wameniomba mara oooh wajanja woe wapo Dar kwa hiyo nataka kugombea Dar....kwa hiyo mikoa mingine kuna watu wa aina gani??kinyume cha wajanja sio.Hii ni kashfa kwa wapiga kura wake.Si mpigananji tena huyu
 

huyu ndio bomu kabisa anawatumia watu wa singida kama angekuwa anawapenda makao makuu ya Afican lyon yangekuwa singida ili kukuza mpira wa jimboni kwake
 
huyu ndio bomu kabisa anawatumia watu wa singida kama angekuwa anawapenda makao makuu ya Afican lyon yangekuwa singida ili kukuza mpira wa jimboni kwake

I can't agree more!

Yaani jimbo la Singida kwa huyu Mheshimiwa ni kama ku fullfill achievement flani; a trophy to be precise! Na hao unaosema wanampenda ni wale wanaoneemeka kwa kuwepo kwake!
 
Wabunge wote vihiyo!

Napendekeza safari hii tuwaite hata partners kutoka nje au hata KPMG kutufanyia recruitment ya wanaotaka kugombea!
 
JINA: mbunge wa kigamboni
JIMBO: Kigamboni
CHAMA: CCM
SABABU YA KUKATAA: Hatumjui na wala kumsikia kwa niaba yetu kwani hata waathirika wa Mbagala kuu ni wananchi wake lakini sidhani kama alizungumzia lolote.
 
Anafanya kazi ya kuwa kibaraka wa mafisadi badala ya kutetea na kuwashughulikia wananchi wa jimbo lake. Shame on him!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…