- Mimi ni mwananchi wa Mtera kwa hiyo ninayo kila sababu kumtetea mbunge wangu, what is you problem mkuu?
FMEs! hapa?
- Kwa hiyo kwa sababu amesema Kikwete aendelee basi ajiuzulu ubunge? Kwa kuwa amesema Busanda wakiichagua CCM itawapa umeme basi ajiuzulu ubunge wa Mtera?
- Mkuu Masa mbona huwa ninakuona kichwa vipi leo kuna mtu ameiba code yako nini?
- Je mkuu unaweza for once kunisaidia sheria ya jamhuri iansema nini kuhusu wabunge na umri?
FMEs!
- Aliyeishiwa hapa sio siri kumjua, naomba unisaidie mkuu sheria inasema nini kuhusu wabunge na umri?
FMEs!
Kuna haja ya kubadili katiba kugombea ubunge mwisho miaka 60, hututaki dead woods Kina Malecela, Mzindakaya, Makweta its time to rest...jamani kupunguza hata chances za by elections....
Hata mimi ni mwanancho wa Mtera, na ninasema we don't want Malecela to represent us in the parliament. Habri ndio hiyoooo, peleka hizo salamu, umfikishie kama zilivyo.
Uko kwenye payroll ya Malecela mzee? Ukimtetea wewe ni sawa, anayempinga sio sawa, ana chuki. Demokrasia ya wapi hii?
Hata mimi ni mwanancho wa Mtera, na ninasema we don't want Malecela to represent us in the parliament. Habri ndio hiyoooo, peleka hizo salamu, umfikishie kama zilivyo.
Uko kwenye payroll ya Malecela mzee? Ukimtetea wewe ni sawa, anayempinga sio sawa, ana chuki. Demokrasia ya wapi hii?
hakuna la maana mheshimiwa jumanne kawa mbunge miaka mingapi bana?Namsubiria atutajie mafanikio ya Malecela hii miaka mitano bungeni ili tujue. Lakini so far hajasema.
Hawa ni baadhi tu ya wabunge wanao onekana kutofaa mwakani, feel free kuongeza majina mengine au kukosoa kwamba fulani asiwepo kwenye list hii.
1. Gideon Cheyo- Ileje.
2. John Chilligati - Manyoni.
3. Chitalilo - Buchosa [ do i need to say why for this guy? ]...lol.
4. Zainab gama - Kibaha.
5. Kapuya - Urambo.
6. John Komba- Mbinga West.
7.Ligalama Casto- Kilombero.
8. William Lukuvi - Isman.
9. Pombe Magufuli - [ just kidding...]
10. Ritha Mlaki - Kawe.
11. Lau Masha - Nyamagana. [ the guy is too quite on mafisadi issue ]
12.Benson Mpesya - Mbeya Mjini.
Mapambano yetu tueleze bungeni sasa, bunge likiwa "rubber stamp" ya mafisadi hatufiki popote.
Wewe ndio utakuwa mgawa T shirt na mnunua mchele wa kupikia ubeche?- Mkuu na mimi mwananchi wa Mtera sasa dawa ni tukutane kwenye uchaguzi maana hauko mbali, haya maneno ya JF hayajawahi kumpa mtu ubunge wala uongozi.
- Unakuwa na chuki unapodai tatizo ni umri wake, bila kujali sheria inasema nini kuhusu umri wa wabunge, sasa wewe njoo uchukue fomu mkuu tukutane jimboni maana mimi niko njiani mkuu! Nitakuwepo Mtera, Same East, Urambo kwa Six, na Iringa kwa Mama Makinda, karibu sana mkuu!
FMEs!
- Kumbe baba yako alipofikia 60, aliishia kua dead wood sasa unafikiri kila mtu ni kama yeye, hapana mkuu halafu vipi sheria inasema nini kuhusu umri wa wabunge? Yaani mnataka kuendehsa taifa kwa maneno ya mtaani?
- Kwani Kikwete alipochaguliwa alikwua na umri gani? Mbona anafanya kazi nzuri sana? Bwa! ha! ha!
FMEs!
Kasema anataka watu watoe hoja za kwa nini huyu mzee aondoke lakini hajatoa hoja bado ni kwa nini abaki. Namsubiria atutajie mafanikio ya Malecela hii miaka mitano bungeni ili tujue. Lakini so far hajasema.
hakuna la maana mheshimiwa jumanne kawa mbunge miaka mingapi bana?
poa njoo kivingine......- Mkuu jimbo la Mtera linaongoza kwa taifa zima kwa kuwa na zahanati na shule, kwa kila kata yaani kata zote 51, na ni majuzi tu bara bara ya kutoka Dodoma kwenda Muvmi imekarabatiwa vizuri sana, sasa safari ya masaa 8, imefupishwa na kuwa masaa manne tu!
Ahsante.
William.
Nafasi za kuchaguliwa na wanachi Tanzania hazina age limit. Kuna umri wa chini wa kugombea nafasi fulani lakini hamna umri wa juu. Mtu anaweza kukaa hata akiwa na miaka mia. Hakuna sheria inayo mkataza mtu kugombea nafasi yoyte ya uwakilishi ili mradi tu awe above the minimum age required. Kikomo kipo kwenye uraisi ambayo limitation zake ni terms in office siyo umri.
Its obvious you are speaking with passion na ushabiki. Ume lalamikia wanao taka Malecela aondoke simply because of age, fine thats understandable. Ambacho sielewi ni wewe una tofauti gani na hao? Maana hata wewe hauja toa hoja. Hauja sema nini mafanikio ya Malecela jimboni mwako. Sasa kama hauja sema ni kafanya kustahili kubaki na unamtetea na wewe si mshabiki tu? If you feelstrongly about Malecela & if your support is driven by facts rather than passion then I don't see why it would be hard for you kutaja mafanikio ya Malecela. Kama hauwezi kutaja mafanikio yake basi huna haki ya kumlaumu yule anaye taka aondoke simply because of his age.- Mkuu na mimi mwananchi wa Mtera sasa dawa ni tukutane kwenye uchaguzi maana hauko mbali, haya maneno ya JF hayajawahi kumpa mtu ubunge wala uongozi.
- Unakuwa na chuki unapodai tatizo ni umri wake, bila kujali sheria inasema nini kuhusu umri wa wabunge, sasa wewe njoo uchukue fomu mkuu tukutane jimboni maana mimi niko njiani mkuu! Nitakuwepo Mtera, Same East, Urambo kwa Six, na Iringa kwa Mama Makinda, karibu sana mkuu!
FMEs!
- Mkuu jimbo la Mtera linaongoza kwa taifa zima kwa kuwa na zahanati na shule, kwa kila kata yaani kata zote 51, na ni majuzi tu bara bara ya kutoka Dodoma kwenda Muvmi imekarabatiwa vizuri sana, sasa safari ya masaa 8, imefupishwa na kuwa masaa manne tu!
Ahsante.
William.
type ya tinga tinga ndio wanaotufikisha hapa tulipo......tinga tinga must go....Mzee anagombea hadi kuanzia jua liko mishale ya saa nne asubuhi, hadi sasa ni machweo. Lini atakula pension?
Tinga tinga ana matatizo, sijui ni tamaa ya madaraka?
Kwa maoni yangu Wabunge wote wa CCM wanastahili kuangushwa mwakani ukiondoa wachache ambao wameonyesha kuweka maslahi ya Taifa mbele lakini kutokana na kutopata support toka kwa Wabunge wenzao wa CCM hawakuweza kupata mafanikio ya kuridhisha. Wabunge hao ni Mama Kilango, Mwakyembe na Seleli. Waliobaki wote hawastahili tena kurudi bungeni maana wamekuwa watetezi wa mafisadi ndani ya chama na serikali na hivyi kusababisha vita dhidi ya mafisadi isiwe na mafanikio yoyote kama Watanzania wengi tulivyotegemea.
type ya tinga tinga ndio wanaotufikisha hapa tulipo......tinga tinga must go....